Wadau wahimiza utekelezwaji wa elimu ya utendaji

  • | Citizen TV
    131 views

    Washikadau katika sekta ya elimu wameitaka serikali kushirikiana na sekta za binafsi ili kutekeleza kikamilifu mtaala wa CBC. Katika hafla ya uzinduzi wa muundo wa kuwezesha wanafunzi katika safari yao ya elimu, washikadau walihimiza serikali kuvipa kipaumbele vifaa vya kuwezesha wanafunzi kujifunza masomo ya utendaji.