Kijana wa miaka 22 aendelea kuuguza majeraha ya risasi katika maandamano

  • | Citizen TV
    494 views

    Mwezi moja baada ya machafuko ya maandamano kushuhudiwa nchini, waathiriwa wa maandamano bado wanasubiri haki baada ya kuwachwa na makovu ya dhuluma za polisi. katika eneo la Mlolongo, kijana wa miaka 22 bado anaendelea kuuguza majeraha baada ya kupigwa risasi tumboni.