Kapu La Biashara: Benki ya Cooperative ilinakili faida ya shilingi bilioni

  • | KBC Video
    20 views

    Benki ya Cooperative ilinakili faida ya shilingi bilioni baada ya kulipa ushuru katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu. Ukuaji huo wa asilimia 7.3 ulichangiwa na ongezeko la riba hadi shilingi bilioni 23.9. Taarifa zaidi ni kwenye kitengo cha biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive