Viongozi wamekubaliana kuhusu kuandaa uchaguzi

  • | Citizen TV
    884 views

    Hatimaye utata wa uongozi unaozingira kanisa la PAG huenda ukafika kikomo baada ya kikao cha wachungaji wa kanisa hilo kuafikia tarehe ya uchaguzi wa viongozi wao.