Wabunge wataka mkataba tata wa Adani kusitishwa

  • | Citizen TV
    4,363 views

    Wabunge Sasa Wanamtaka Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Nancy Gathungu Kufanya Ukaguzi Maalum Wa Mkataba Tata Wa Kampuni Ya Adani Na Uwanja Wa Ndege Wa Jkia. Kamati Ya Bunge Kuhusu Uwekezaji Wa Umma, Aidha Imeitaka Mamlaka Ya Viwanja Vya Ndege Nchini Kaa Kusitisha Mazungumzo Yoyote Na Kampuni Ya Adani Hadi Pale Ukaguzi Utakapokamilika Na Ripoti Kuwasilishwa Bungeni, Kama Stephen Letoo Anavyoarifu