Rais Ruto sasa apongeza wakfu wa Ford baada ya kusema wakfu huo unaunga maandamano ya vijana

  • | Citizen TV
    2,290 views

    Rais William Ruto sasa ameonekana kupiga abautani kwenye msimamo wake kuhusiana na wakfu wa Ford, alioushutumu kwa kuchochea ghasia wakati wa maandamano dhidi ya serikali yake. Rais akionekana kuumiminia sifa wakfu huo, alipokutana na Rais wake Darren Walker jijini New York nchini Marekani.