Washikadau sekta ya elimu watilia shaka hatma ya wanafunzi walioko chini ya mtaala wa CBC

  • | Citizen TV
    626 views

    Washikadau katika sekta ya elimu wanatilia shaka hatma ya wanafunzi walioko chini ya mtaala wa CBC. wadau hao wanaitaka serikali kuchunguza zaidi mtaala huo ili wanafunzi wasipoteze muda wao shuleni ikihofiwa kuwa wanafunzi watapoteza pakubwa iwapo mtaala huo hautapigwa msasa