KWS yatakiwa kutoa nafasi za ajira kwa jamii zinazoongoza kwa uhifadhi wa wanyama

  • | Citizen TV
    172 views

    Gavana wa Samburu Lati Lelelit ametoa wito Kwa shirika la huduma za wanyamapori nchini - KWS, kubuni sera zitazofanya kipaumbele Jamii za wafugaji katika maswala ya ajira ya shirika hilo. Gavana Lati ametetea jamii za wafugaji kama zinazochangia pakubwa katika uhifadhi wa mazingira na wanyama pori kutokana na kujitolea kwake kuendeleza mchakato huo