Serikali ya Nyamira yafunga chimbo hatari Kitutu Masaba

  • | Citizen TV
    133 views

    Serikali ya Kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na Wizara ya Madini na mamlaka ya NEMA imefunga chimbo la Kiabiraa lililoko Kitutu Masaba katika kaunti hiyo, kutokana na athari za maporomoko ya ardhi.