Wakurungezi wa kampuni za chai watafuta masoko ya nje

  • | Citizen TV
    139 views

    MwenyeKiti wa Kampuni ya Chai ya Kiru ambaye ni mwanachama wa bodi ya kampuni za chai za Zone 3 Chege Kirundi, ameomba serikali kuu kusaindia kampuni za chai kupanua soko la chai na hasa katika mataifa ya kigeni.