Serikali ya kaunti ya Kwale yapima udongo na kutoa ushauri

  • | Citizen TV
    116 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale kupitia idara ya kilimo itaanza mchakato wa kupima mchanga mashambani ili kubaini na kushauri wakulima ni mbolea na madini gani yatahitajika kuendeleza kilimo cha mimea mbalimbali.