Wakazi wa Turkana Kaskazini wafunzwa ufugaji wa nyuki

  • | Citizen TV
    130 views

    Kutokana na kukithiri Kwa ukame na kiangazi katika eneo la Turkana Kaskazini, kundi moja la ushirika kwa Jina Eruko limejitosa katika ufugaji wa nyuki kama njia mojawapo ya kujitafutia mapato.