Walimu Loitokitok waandaa michezo mbali mbali kupambana na changamoto za afya ya akili

  • | Citizen TV
    153 views

    Walimu kutoka eneo la Loitokitok kaunti ya Kajiado waliaanda michezo mbali mbali katika eneo la Kimana, kama njia moja ya kupambana na changamoto za afya ya akili. Hafla hiyo pia ilitumiwa kuwahamasisha walimu kuhusu uwekezaji.