Wakulima washauriwa kuacha kilimo cha tumbaku busia

  • | Citizen TV
    136 views

    Kampeini ya kuwashawishi wakulima kuacha kilimo cha tumbaku katika eneo bunge la teso kaskazini kaunti ya Busia chini ya mpango wa tobacco free farms inaonekana kuzaa matunda. Asilimia kubwa ya wakulima wakiendelea kukumbatia kilimo mbadala cha kuwapa mapato kama anavyoarifu jane Jerotich.