Nafasi ya mwanamke katika jamii inazungumziwa

  • | Citizen TV
    84 views

    Kongamano la siku mbili kuhusu nafasi ya mwanamke katika jamii linang'oa nanga rasmi hii leo huko mombasa. Kongamano hilo linalenga kuwapiga jeki wanawake pamoja na kukabiliana na dhulma dhidi ya wanawake