Shughuli ya kuwafanyia mahojiano wawaniaji wa nafasi za ukamishena wa IEBC imeingia wiki ya pili

  • | K24 Video
    249 views

    Shughuli ya kuwafanyia mahojiano wawaniaji wa nafasi za ukamishena wa IEBC imeingia wiki ya pili huku wagombea watano wa nyadhfa hizo wakijitokeza mbele yajopo la uteuzi linaloongozwa na Nelson Makanda kuuza sera zao. Jopo hilo liliwataka watano hao kueleza jinsi watafanya kazi bila kutofautiana na kujiondoa kama ilivyoshuhudiwa miaka ya hapo awali.