- 23 views
Rais William Ruto ameagiza idara za usalama nchini kupambana na ongezeko la mauaji ya wanawake. Akizungumza baada ya kuapishwa kwa naibu rais kithure kindiki, kicc, ruto amewarai wananchi kuwa waangalifu na kuripoti visa hivyo. haya yanajiri siku chache baada ya idara ya polisi kufichua kuwa ndani ya miezi mitatu kumerekodiwa visa 97 vya mauaji ya wanawake, katika maeneo tofauti nchini,ni hali ambayo wanaharakati wamekashifu vikali wakiitaka serikali itangaze mauaji ya wanawake ni janga la kitaifa na kuelekeza fedha na rasilimali zaidi katika kupambana nayo.
Rais Ruto aagiza idara za usalama nchini kupambana na ongezeko la mauaji ya wanawake.
- 2 Nov 2024 - The county, a rotary club and White Salmon support an initiative that empowers these moms
- 2 Nov 2024 - At least eight people were killed Friday after part of an outdoor roof collapsed at a train station in the Serbian city of Novi Sad, the interior minister said.
- 2 Nov 2024 - Rescuers on Friday raised the death toll in Spain's worst floods for a generation to 205 as the government deployed more troops in an increasingly desperate search for survivors.
- 2 Nov 2024 - Israel's cabinet on Friday approved a 2025 national budget, a wartime financial package that far-right Finance Minister Bezalel Smotrich said supported the country's ongoing wars and encouraged economic growth.
- 2 Nov 2024 - Jubilation, promise for one Kenya as Kindiki takes oath of office
- 2 Nov 2024 - Ruto to Kindiki: I've been lonely, I need your voice and intellect
- 2 Nov 2024 - I'll be loyal and won't let you down, Kindiki tells Ruto
- 2 Nov 2024 - Kenyans trash Cherargei bid to extend term of President, MPs
- 2 Nov 2024 - How Njuri Ncheke elders endorsed Kindiki's leadership
- 2 Nov 2024 - A month after SHA rollout, patients suffer amid system flaws