Viongozi wanaoegemea upande wa Gachagua wajitokeza na kumjibu katibu Raymond Omollo

  • | K24 Video
    30 views

    Viongozi 23 wanaoegemea upande wa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua wamejitokeza kumjibu katibu wa wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo aliyepuuzilia mbali madai ya Gachagua kuwa serikali imechangia kikamilifu usambazaji wa pombe haramu eneo la mlima kenya.Viongozi hao wamemshtumu Omollo kwa kupuuza suala hilo na kushindwa kushughulikia masuala muhimu yaliyoangaziwa na gachagua katika hotuba yake ya jana.