Amewaonya wanasiasa kupunguza mihemko ya siasa

  • | Citizen TV
    3,270 views

    Mwenyekiti wa kamati ya bajeti nchini ambaye ni Mbunge wa eneo bunge la Kiharu Ndindi Nyoro amewarai wanasiasa kupunguza siasa na kujitosa kwenye shughli za ujenzi wa taifa kupitia miradi mbali mbali