Askofu Jackson Murugara atawazwa uwanjani Kinoru

  • | Citizen TV
    255 views

    Askofu Jackson Murugara ametawazwa kuwa askofu Mkuu wa kanisa katoliki dayosisi ya Meru, inayojumuisha kaunti ya Meru na Tharaka Nithi