Skip to main content
Skip to main content

"Bado tunamsubiri Polepole aripoti kituo cha polisi"

  • | BBC Swahili
    15,588 views
    Duration: 54s
    Polisi nchini Tanzania wamesema kuwa bado wanamsubiri aliyekuwa Balozi wa nchi hiyo wa Cuba, na mkosoaji wa serikali Humphrey Polepole kuripoti kituo cha polisi kutoa maelezo juu tuhuma anazotoa mitandanoni. Taarifa ya polisi imetoka wakati familia yake ikiripoti kuvamiwa kwa ndugu yao na kutekwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. Mpaka sasa haijulikani Polepole yuko wapi na ameshikiliwa na akina nani. #bbcswahili #tanzania #cuba