- 17,004 viewsDuration: 28:10Polisi nchini Madagascar wamerusha gesi ya kutoa machozi kuwatawanya vijana waandamanaji waliokuwa wamekusanyika kwa siku ya 12 wakitaka kujiuzulu kwa Rais Andry Rajoelina. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw