Benni McCarthy kutambulishwa rasmi leo saa saba kama kocha mpya wa Harambee Stars

  • | TV 47
    33 views

    Raia wa South Africa Benni McCarthy ndiye Kocha mpya wa Harambee Stars.

    McCarthy kutambulishwa rasmi leo saa saba.

    Anachukua nafasi ya Kocha Engin Firat.

    Bennie McCarthy anajiunga na Harambee baada ya Kuondoka Manchester United.

    Harambee Stars kuchuana na Gambia tarehe 17 mwezi huu.

    Kenya vs Gambia ni mechi ya kufuzu dimba la Dunia 2026.

    Bennie McCarthy ndiye mfungaji bora wa timu ya taifa ya Afrika Kusini.

    Ni Kocha wa zamani wa Amazulu na Cape Town.

    Ni mchezaji wa Zamani wa Ajax, Capetown, West ham,Celta Vigo, O. Pirates, Porto.

    Alishinda ligi ya klabu bingwa akiwa mchezaji wa Porto mwaka wa 2004.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __