Biashara I Kampuni ya Kenya Power kuboresha muundombinu

  • | KBC Video
    12 views

    Zaidi ya wajasiriamali 80 wametia sahihi mikataba ya kuanzisha biashara katika maeneo ya viwandani yanayoendelea kuzinduliwa katika kaunti mbalimbali humu nchini. Afisa Mkuu Mtendaji wa halmashauri ya kitaifa ya uwekezaji, John Mwendwa amesema maeneo hayo spesheli yana uwezo mkubwa wa kuzifaidi kampuni ndogo na za kadri. Kwa habari zaidi ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive