Biashara lunga lunga : Muundo mbinu kuimarishwa mpakani Kenya na Tanzania

  • | KBC Video
    7 views

    Serikali ya kaunti ya Kwale imeratibu mikakati ya kuimarisha muundo mbinu katika bandari ya Lunga Lunga iliyoko mpakani Kenya na Tanzania ili kukuza biashara na uchumi wa eneo hilo. Akizundua ukarabati wa barabara ya Ziwani-Lunga Lunga, gavana wa Kwale Fatuma Achani aliwataka wakazi kushirikiana na serikali ya kaunti katika juhudi za kustawisha mji wa Lunga Lunga ili kupiga jeki uchumi wa eneo hilo kupitia biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive