Bodi ya kilimo sacco iliyotimuliwa yadaiwa kufuja Ksh.80M Makueni

  • | Citizen TV
    33 views

    Wanachama zaidi ya elfu kumi na sita wa shirika la KILIMO SACCO wameitaka serikali ya Makueni kuhakikisha bodi ya usimamizi iliyotimuliwa ofisini kutokana na ubathirifu wa zaidi ya shilingi milioni 80 wamekamatwa na kushtakiwa.