Bunge kuhakikisha fedha za umma zinatumiwa ipasavyo

  • | KBC Video
    8 views

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge la taifa kuhusu bajeti na makadirio ya fedha za serikali, Ndindi Nyoro amekariri kujitolea kwa kamati hiyo kuisadia afisi ya mkaguzi mkuu wa fedha za serikali kuhakikisha raslimali za umma zinatumiwa ipasavyo kwa manufaa ya wananchi. Kwenye kikao cha mawasilishao ya ripoti ya mkaguzi mkuu wa fedha za serikali Nancy Gathungu katika hoteli moja mjini Mombasa, Nyoro alisema jukumu kuu la afisi ya mkaguzi mkuu wa fedha ni kuwajibisha serikali iwapo matumizi ya fedha za serikali yataendelea kuongezeka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive