Bunge lapendekeza marekebisho ya SHA

  • | Citizen TV
    353 views

    Kamati ya Afya ya Bunge la Kitaifa imependekeza marekebisho kufanywa kwa bima ya SHA ili kushughulikia changamoto zinazokumba bima hiyo. Katika mkutano na waakilishi wa afya kutoka sekta ya kibinafsi, wabunge hao walieleza wasiwasi wao kuhusu kile walichokitaja kama changamoto katika utoaji huduma za afya. Hospitali za kibinafsi zikiiomba kamati hiyo kushawishi Wizara ya Afya na Hazina ya kitaifa kulipa madeni ya NHIF