Chuo cha JKUAT chazindua kozi mpya

  • | KBC Video
    10 views

    Chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha Jomo Kenyatta (JKUAT) kinapania kuanzisha kozi ya shahada ya uzamili kwenye somo la sayansi ya urekebishaji ili kuwapa mafunzo wataalam kuhusu huduma za kuwasaidia watu walio na ulemavu. Wanafunzi wamehimizwa kujisajili na kozi hiyo kama njia moja ya kujiboresha kitaaluma na kuwasaidia watu wengi walio na na ulemavu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News