DKT. Frank Njenga awashauri madaktari Mombasa, kuhusu mbinu za kukabiliana na matatizo ya akili

  • | Citizen TV
    156 views

    Matatizo ya akili si suala la kupuuzwa. Hiyo ni kauli ya mtaalamu wa magonjwa ya akili Daktari. Frank Njenga wa hospitali ya chiromo. Daktari Njenga alikuwa akiwashauri madaktari na wataalamu wa magonjwa mbalimbali kuhusu mbinu za kukabiliana na matatizo ya akili kwenye kongamano lao la mwaka jijini Mombasa