EACC yatwaa mali iliyopatikana kwa njia ya ulaghai

  • | KBC Video
    36 views

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC, imetwaa shilingi 12,458,990 zilizopatikana kwa njia ya ulaghai na aliyekuwa Mshauri wa Kisiasa wa aliyekuwa Gavana wa Taita Taveta John Mruttu, Kimonge Geoffrey. Hii ni baada ya tume hiyo kupata idhini la Mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive