Elimu ni mwangaza : Ujenzi wa madarasa wafadhiliwa shuleni Mapimo

  • | KBC Video
    5 views

    Shule moja ya msingi katika kaunti ndogo ya Magarini kaunti ya Kilifi inashirikiana na mashirika mbali mbali, wafadhili na serikali kuboresha muundo msingi katika shule hiyo kukidhi idadi kubwa ya wanafunz. Shule hiyo ya msingi ya Mapimo Comprehensive iliyo na idadi ya wanafunzi-2100 ilipokea msaada wa kifedha kujenga madarasa na kununua vifaa vingine vya masomo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive