Fahamu madhara ya kubandika kope bandia

  • | BBC Swahili
    830 views
    Kubandika kope za bandia kunaweza kukupa mvuto na muonekano wa tofauti, lakini je, unajua kuwa zinaweza kuwa na madhara? - @elizabethkazibure anakuelezea madhara ya kubandika kope kwenye macho yako? - - - #bbcswahili #wanawake #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw