Familia 600 eneo la Kiungani zasihi Ruto kutatua mzozo wa ardhi wa miaka

  • | NTV Video
    64 views

    Zaidi ya familia 600 eneo la Kiungani katika kaunti ya Trans Nzoia zinamuomba rais William Ruto kuingilia kati kuwasaidia kupata haki ili kumiliki ardhi yao na kusulisha mzozo wa miaka na mkulima mmoja katika eneo hilo huku wakidai kuhangaisha na maafisa wakuu serikalini wanachelewesha ugavi wa ardhi ya ekari 500 katika eneo hilo

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya