Familia moja mtaani Kinoo yamtafuta mwana wao Ryan Omondi Nyakako aliyetoweka

  • | Citizen TV
    588 views

    Familia moja mtaani Kinoo huko Kikuyu kaunti ya Kiambu inamtafuta mwana wao Ryan Omondi Nyakako mwenye umri wa miaka 12 aliyetoweka kutoka nyumbani kwao katika jumba la Sky Ridge huko Kinoo.