- 675 viewsDuration: 2:41Familia moja huko Kitale kaunti ya Transnzoia inamtafuta mama wa watoto watatu aliyetoweka kwa wiki mbili. Familia hiyo inaarifu kuwa Caroline Mokeira aliondoka nyumbani na mumewe lakini mume huyo alirudi nyumbani pekee yake na hakutoa taarifa za kueleweka kuhusu aliko mkewe. Familia zingine mbili hapa Nairobi zinawatafuta wapendwa wao akiwemo mama wa umri wa miaka 75 aliyetoweka kutoka mtaani Umoja