Familia ya Rachael, aliyefariki nchini Saudi Arabia inataka uchunguzi ili kubaini chanzo cha kifo

  • | K24 Video
    130 views

    Familia ya Rachael Njoki, aliyefariki nchini Saudi Arabia wiki chache tu baada ya kuwasili kwa kazi, sasa inataka uchunguzi wa haraka ili kubaini chanzo cha kifo chake. hii ni baada ya upasuaji wa mwili uliopangwa kufanyika leo kukosa kufanyika bila mawasiliano ya wazi kuhusu siku utakapofanyika.