Familia yamuomboleza baba, mwana akitoweka

  • | Citizen TV
    373 views

    Familia ya mzee Reuben Saning’o Yenko iliyoko Kijijini Ololulung’a eneo bunge la Narok Kusini inamsaka kifungua mimba wao aliyetoweka katika njia tatanishi