- 399 viewsDuration: 2:41Familia za waathiriwa wa mauaji ya shakahola zimeendelea kupokea miili ya wapendwa wao katika makafani ya malindi. Baada ya kusubiri kwa miaka miwili familia moja ilipokea miili minne . Hadi sasa, maiti 16 zimekabidhiwa familia ambazo sasa zinaendelea na maandalizi ya mazishi. Aidha mashirika ya kutetea haki za kibinadam yanasema kufikia sasa maiti 60 zimetambuliwa rasmi