Gachagua atishia maandamano dhidi ya Ruto ikiwa CJ Koome atatimuliwa

  • | NTV Video
    7,595 views

    Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua ameitishia kuongoza maandamano dhidi ya rais William Ruto ikiwa jaji mkuu Martha Koome atatimuliwa ofisini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya