Gathungu asema kuwa wakenya walichezewa shere kwa kua ununuzi wa teknolojia ya SHA haukufuata sheria

  • | Citizen TV
    2,936 views

    Mkaguzi wa hesabu za serikali Nancy Gathungu ameshikilia kwamba mchakato uliotumika kununua mfumo wa teknolojia wa mpango wa bima ya afya sha, ulikuwa kinyume cha sheria.