Gavana Mutahi Kahiga ataka kampuni za pombe zipunguzwe nchini

  • | Citizen TV
    281 views

    Gavana wa kaunti ya Nyeri Mutahi kahiga ameitaka serikali kuu kupunguza kampuni zilizoidhinishwa kutengeza vileo nchini, ili kuzipiga jeki juhudi za kupambana na vileo bandia mashinani.