30 Oct 2025 7:45 pm | Citizen TV 192 views Duration: 1:35 Timu ya taifa ya soka kwa wasichana Harambee Starlets ilirejea nchini jana jioni kutoka Senegal walikojikatia tiketi ya kushiriki kwenye mchuano wa wafcon 2026