Hospitali ya Mathari yaadhimisha miaka 120

  • | KBC Video
    172 views

    Hospitali ya Kitaifa ya Mafunzo ya utabibu na matibabu maalum ya Mathari, imeadhimisha miaka 120 tangu ilipoanzishwa kwa wito mpya wa kuongeza uwekezaji na wafanyikazi katika juhudi za kushughulikia afya ya akili ili kukabiliana na ongezeko la visa vya watu walio na changamoto za kiakili nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News