Huenda wakenya wakaanza kulipa kutumia barabara kuu

  • | Citizen TV
    1,084 views

    Huenda Wakenya wakalazimika kulipa ada kutumia baadhi ya barabara kuu nchini, endapo mapendekezo mapya ya mamlaka ya barabara kuu nchini KENHA, yatafaulu