Idara ya magereza yazindua mpango wa upanzi miti

  • | KBC Video
    12 views

    Idara ya magereza imezindua kampeni ya kila mwezi ya upanzi wa miti na unadhifishaji katika juhudi za kurekebisha mazingira yaliyoharibiwa na kuimarisha mipango endelevu ya kuhifadhi mazingira katika magereza ya humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News