Jamii za wafugaji zahimizwa kuzima moto wakishamaliza kutumia

  • | KBC Video
    44 views

    Jamii za wafugaji wa kuhamahama zimehimizwa zidhibiti matumizi ya moto kwenye maeneo ya malisho ili kuepusha visa vya moto ambavyo vimeshuhudiwa hivi maajuzi kwenye baadhi ya sehemu za kaunti za Isiolo na Samburu. Akizunguma kwenye shule ya Ntalabany Comprehensive katika eneo la Leparua, afisa wa uhifadhi wa misiti katika eneo la Isiolo kwa kanda ya Ewaso kaskazini, Allan Ongere alisema kuwa katika miezi ya hivi maajuzi zaidi ya hekta 500 za ardhi ziliteketea katika kaunti ya Samburu huku zaidi ya hekta elfu-5 za ardhi ya malishe ziliteketea katika maeneo ya Merti na Sericho huko Isiolo, huku moto ukiteketea kwa zaidi ya juma moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive