Ujenzi wa bwawa la Mwache wafikia asilimia 28

  • | KBC Video
    261 views

    Katibu katika idara ya unyunyizaji maji mashambani Ephantus Kimotho ameelezea kwamba kazi ya ujenzi wa bwawa la Mwache unaogharimu mamilioni ya fedha imefikia asilimia 28 huku ujenzi wa bwana lenyewe ukifikia asilimia 16.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive