- 286 viewsJarida la wikiendi wiki hii linaangazia mjadala kuhusu mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika na maazimio yake wakati bara la Afrika linakabiliwa na mizozo ya kivita na wakati huo huo kujikimu wenyewe bila ya kutegemea misaada ya nje. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
JARIDA LA WIKIENDI: Mjadala wa maadhimio ya mkutano wa Umoja wa Afrika
- 25 Feb 2025 - In the quiet village of Naserian, Kajiado West in Kajiado County, grief hangs heavy in the air; a family shattered, mourning their son, Samuel Kaitwai.
- 25 Feb 2025 - Appearing before the National Assembly Administration and Internal Security Committee, Metito requested an additional KSh 3 billion for State House to finalize pending projects, including renovations.
- 25 Feb 2025 - The demonstrators condemned President Yoweri Museveni's government, labeling it authoritarian and oppressive.
- 25 Feb 2025 - A night flight at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) brings with it a special delivery for the country and its conservation efforts: aboard the cargo plane were over a dozen animals, making their return home after years away in Florida, USA.
- 25 Feb 2025 - The summit, co-chaired by Emmerson Dambudzo Mnangagwa, President of Zimbabwe and SADC Chairperson, and William Samoei Ruto, President of Kenya and EAC Chairperson, was held in Dar es Salaam on February 8, 2025.
- 24 Feb 2025 - In a statement issued on Monday, U.S. Chargé d'Affaires to Kenya, Marc Dillard, expressed deep condolences to the officer's family and praised the bravery of Kenyan forces contributing to global security efforts.
- 24 Feb 2025 - Detectives have confirmed that the body found dumped in Makongo forest along the Machakos-Wote road in Makueni County over the weekend belongs to Campbell Scott, the British national who went missing last week in Nairobi.
- 24 Feb 2025 - He said it was wrong to assume people from Mt Kenya are against Raila
- 24 Feb 2025 - Jarod Tyler Roberts was arraigned before the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) Law Courts on Monday, where he pleaded not guilty to trafficking cocaine valued at Ksh.240,000.
- 24 Feb 2025 - Njoroge Mwaura became a household name in Kenya for his eloquent news presentation and reporting on major political and socio-economic stories, and was highly regarded in the media fraternity.