Je, Papa Mpya Huchaguliwaje?

  • | BBC Swahili
    3,502 views
    Kufuatia kifo cha Papa Francis na kipindi cha maombolezo, Kanisa Katoliki litajiandaa kwa kongamano la uchaguzi – kikao cha siri ambapo makardinali hukutana ili kumchagua Papa mpya. @frankmavura analezea mchakato mzima unavyofanyika hadi kumchagua Papa mpya #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw